Video Editing

CapCut Video Editing

Utangulizi

Kwa nini CapCut?

CapCut ni programu ya kuhariri video inayopatikana kwenye simu, kompyuta na kivinjari (browser). Ni rahisi kwa wanaoanza lakini ina zana za kutosha kwa kazi za kitaalamu.

Mafunzo haya yanakuongoza hatua kwa hatua kutoka kukata clip yako ya kwanza hadi kutengeneza video za matangazo na Reels/TikTok zenye mvuto, pamoja na kutumia vipengele vya AI vilivyomo.

Tazama Mafunzo
Full Course

CapCut Full Course

Masomo yote ya CapCut Video Editing sehemu moja, kwa mpangilio — kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Masomo 4
Fungua Full Course
Video Lessons

Video Lessons za CapCut Video Editing

Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.

Endelea Kujifunza

Mafunzo Yanayohusiana

Una swali kuhusu CapCut Video Editing?

Tuandikie — tunafurahi kukusaidia kuchagua somo sahihi au mafunzo ya ana kwa ana.