AI Video Creation
Jifunze kutengeneza video za kitaalamu kwa AI kupitia video tutorials, mifano ya prompts na mwongozo wa hatua kwa hatua.
- SuperGrok AI
- Google Flow
- Zana nyingine za AI video
Jifunze Teknolojia, Tengeneza Ubunifu, Panua Biashara Yako Kidijitali.
NIJUZE TECH ni jukwaa la kujifunza na kupata huduma za kisasa za kidijitali. Tunakusaidia kujifunza kutumia AI kutengeneza video, kufanya video editing, kubuni graphics, kutengeneza website, na kutangaza biashara yako mtandaoni.
Chagua eneo unalotaka kujifunza au huduma unayohitaji kwa biashara yako.
Jifunze kutengeneza video za kitaalamu kwa AI kupitia video tutorials, mifano ya prompts na mwongozo wa hatua kwa hatua.
Hariri video kitaalamu kwa ajili ya mitandao ya kijamii na matangazo.
Buni graphics zinazovutia bila kuwa na uzoefu wa design.
Mafunzo na huduma za kutengeneza website za kisasa zinazojibu kila kifaa.
Tangaza biashara yako mtandaoni na ufikie wateja wapya.
Somo hili ni maalum kwa mgeni ambae hajui chochote kuhusu video za AI. hii ni hatua ya awali imeelezea tool ya kutengenezea video kwa ujumla.
Tazama SomoSomo hili linaelezea namna ya kujiunga na flow na kuzijua sehemu kuu za flow kabla ya kuanza safari mpya ya kuwa mtaalam wa video za AI.
Tazama Somohapa utajifunza namna ya kulog in na namna ya kuhakiki subscription zako pamoja na mnamna unaweza kulink capcut ya simu na pc yako
Tazama SomoHatua za kuanzisha kampeni ya matangazo kwenye Facebook na Instagram.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Tengeneza poster inayovutia kwa kutumia templates, rangi na fonts sahihi.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Import, kata, panga na export video yako ya kwanza kwa CapCut.
Tazama SomoTafuta kwa jina au chuja kwa kundi na kiwango chako (Mwanzo, Kati, Juu).
Fuata video na hatua zilizoandikwa moja kwa moja kwenye kifaa chako.
Tumia ujuzi kutengeneza maudhui yako au tupe kazi tukusaidie.
Tuambie mahitaji yako — tutakushauri na kukupa bei inayolingana na kazi yako.